Milad un Nabii
TEHRAN (IQAN)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika toleo la tano la Tuzo ya al Mustafa (SAW) kuwa sayansi na elimu yenye manufaa ni elimu inayosababisha saada na ufanisi kwa mwanadamu na kuongeza kuwa, tangu hapo awali, Wamagharibi walikuwa na wasiwasi kwamba kutajitokeza ustaarabu mpya wa kukabiliana nao, na hii ndiyo sababu kuu ya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na chuki dhidi ya Iran (Iranophobia).
Habari ID: 3477671 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30
Kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA)- Wanasayansi watano Waislamu wametunukiwa zawadi ya Tuzo ya Mustafa SAW ya mwanasayansi bora katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka huu wa 2021.
Habari ID: 3474454 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/22