TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi hiyo ya Palestina kwa mabavu.
Habari ID: 3474635 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/03