TEHRAN (IQNA)- Wasomaji Qur'ani Sayyid Mustafa Husseini na Sayyid Jasim Mousavi wamesambaza klipu inayonyesha wakiwa wanasoma aya za Sura Ad Dhuha kwa pamoja kwa mtindo wa qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Mohammad Siddiq El Minshawi.
Habari ID: 3474768 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05