iqna

IQNA

IQNA – Nchini Oman, nchi ya Kiarabu katika eneo la Asia Magharibi, Ramadhani unajulikana kama mwezi uliopewa kipaumbele kwa ajili ya hisani na matendo mema.
Habari ID: 3480415    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/22

IQNA – Washindi wa toleo la 32 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman walikubaliwa katika hafla siku ya Jumatano.
Habari ID: 3480023    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/09

Diplomasia
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian ameeleza kuwa mtazamo na hatua za kivitendo za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni za kueneza amani na kudumisha usalama katika ukanda huu na baina ya nchi zote za Kiislamu; na ametaka kuwepo ushirikiano mkubwa zaidi kati ya Iran na Oman katika uwanja huo.
Habari ID: 3479977    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/30

IQNA - Washindi wakuu wa toleo la 32 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman wametajwa.
Habari ID: 3479882    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

Qur'ani Tukufu
IQNA - Mashindano ya 32 ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos yamefikia hatua yake ya mwisho, na awamu ya fainali imeanza tarehe 24 Novemba katika ukumbi wa mihadhara wa Msikiti Mkuu wa Sultan Qaboos huko Muscat, Oman.
Habari ID: 3479806    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/25

Diplomasia
IQNA- Rais wa Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iwapo nchi za Kiislamu zitaungana zenyewe, utawala wa Kizayuni wa Israel hatathubutu kufanya jinai kirahisi na Marekani na nchi za Magharibi pia hazitaunga mkono utawala huo."
Habari ID: 3479608    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17

Waislamu Shia Oman
Kundi la kigaidi la Daesh (ISIL au ISIS) limesema ndilo lililohusika na shambulio baya la kigaidi kwenye Msikiti wa Shia nchini Oman siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3479141    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17

Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 10 la mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman zimefanyika huku washindi wakipokea tuzo zao.
Habari ID: 3478945    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman yanaendelea katika mji mkuu wa Oman, Muscat.
Habari ID: 3478937    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mratibu wa Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman alitangaza ufunguzi wa usajili wa toleo la 32 la mashinano hayo.
Habari ID: 3478850    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/19

Utamaduni
IQNA - Watu waliotembelea Awamu ya 28 ya maonyesho ya kimataifa ya vitabu katika mji mkuu wa Oman, Muscat walipokea nakala za Qur'ani Tukufu kama zawadi.
Habari ID: 3478450    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04

Utamaduni
IQNA - Zaidi ya wachapishaji 840 kutoka nchi mbalimbali wanashiriki katika toleo la 28 la maonyesho ya kimataifa ya vitabu katika mji mkuu wa Oman , Muscat 2024. Banda la Iran katika maonyesho hayo ya vitabu limetoa mada zaidi ya anuani 1,000 za vitabu katika hafla hiyo ya kitamaduni.
Habari ID: 3478431    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29

Mashindano ya Qur'ani
MUSCAT (IQNA) - Washindi wa toleo la 31 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman walitambulishwa na kamati ya maandalizi.
Habari ID: 3477983    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04

Historia na Turathi
TEHRAN (IQNA)- Ujenzi wa Mnara wa ukumbusho wa admeri maarufu Muislamu wa karne ya 15 miladia, Zheng He, ulizinduliwa Alhamisi katika mkoa wa Dhofar nchini Oman.
Habari ID: 3477091    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03

Utamaduni
TEHRAN (IQNA) – Banda la Oman katika Maonyesho ya 34 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran limeweka vitabu vya maonyesho katika nyanja tofauti, afisa msimamizi wa banda hilo alisema.
Habari ID: 3477014    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/18

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili ameitaka serikali ya nchi hiyo ibatilishe uamuzi wake wa kuruhusu anga yake kutumiwa na ndege za utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476626    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/26

Upinzani dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Oman ametangaza kuafiki na kuunga mkono mpango wa bunge la nchi hiyo wa kususiwa utawala haramu wa Israel unaotenda jinai kila uchao huko Palestina.
Habari ID: 3476339    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/01

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi.
Habari ID: 3476320    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu na Masuala ya Kidini wa Oman amewaenzi washindi wa Duru ya 30 ya Mashindano la Sultan Qaboos la Kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476315    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27

Vita vya Saudia dhidi ya Yemen
TEHRAN (IQNA) – Ujumbe kutoka Oman uko katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a, kufanya mazungumzo na wanachama wa ngazi za juu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah kuhusu kurefusha usitishaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa nchini Yemen.
Habari ID: 3476286    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22