Waislamu wa Oman
TEHRAN (IQNA) - Msikiti mkubwa zaidi wa Oman kwa Waislamu wa Madhehebu ya Shia ulizinduliwa katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu, Muscat.
Habari ID: 3476137 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/23
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Hatua ya awali ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos imeanza nchini Oman siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3475656 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/21
Kususia Israel
TEHRAN(IQNA)- Oman imekataa kuidhinisha ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake, ikionekana kujiepusha kufuata nyayo za Saudi Arabia za kujikurubisha wazi wazi na utawala huo haramu.
Habari ID: 3475608 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11
Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman siku ya Jumamosi alitangaza kuwa nchi yake haitaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel huku akitoa kutoa wito wa kutatuliwa kwa haki suala la Palestina.
Habari ID: 3475308 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28
TEHRAN (IQNA)-Oman imetangaza hatua ambazo zinaanza kutekelezwa Januari 23 kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474841 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23
TEHRAN (IQNA)- Mvulana mwenye umri wa miaka tisa nchini Oman ambaye anaugua ugonjwa wa tawahudi au autisim ameweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3474467 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili ametoa wito kwa Ummah wa Kiislamu duniani kuungana na kuwatetea Waislamu wa India.
Habari ID: 3474358 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Oman wamepongeza hatua ya serikali kuruhusu tena Sala ya Ijumaa misikitini baada ya kufungwa kwa muda wa miezi 18 kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474346 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26
TEHRAN (IQNA)- Misikiti ya Oman imeidhinishwa kuanza tena Sala za Ijumaa baada ya kufungwa kwa muda wa mwaka moja na nusu kutokana na janga la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474328 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23
TEHRAN (IQNA) – Qari Hazza Al Balushi ni kijana kutoka Oman mwenye kipaji cha kusoma Qu’ani Tukufu kwa sauti nzuri.
Habari ID: 3474289 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuunga mkono haki za kisheria za Palestina na katu haitafanya mapatano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474087 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/10
TEHRAN (IQNA)- Sala ya Tarawih imepigwa marufuku nchini Oman kwa lengo la kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona huku sheria ya kutotoka nje usiku ikitekelezwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473785 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/05
TEHRAN (IQNA) – Watu 1,700 wamejisajili kushiriki katika Mashindano ya 30 ya Qur’ani Tukufu nchini Oman.
Habari ID: 3473046 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08
TEHRAN (IQNA)- Madrassah zote za Qur'ani zimefungwa kwa muda Morocco na Oman kutokana na hofu ya kuoena ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472569 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/15
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Mashindani ya 29 ya Qur'ani ya Sultan Qaboos wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Masikiti wa Sultan Qaboos katika Wilaya ya Basusher nchini humo.
Habari ID: 3472310 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/28
TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 15 wa Kimataifa wa Sayansi za Fiqhi umefanyika hivi karibuni katika mji mkuu wa Oman, Muscat ambapo mada kuu ilikuwa ni kuhusu maji.
Habari ID: 3472270 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/11
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Ulaya na Marekani hazina azma ya kurejesha amani huko Yemen bali pande hizo zinafuatilia kuuza silaha zao.
Habari ID: 3472254 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/03
TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini Oman imetangza kuwa Mei 17 itakuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3471500 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/07
TEHRAN (IQNA)- Oman imepanga kuanzisha mafunzo ya kusoma Qur’ani Tukufu kupitia intaneti kwa Waislamu wote.
Habari ID: 3471112 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/08
TEHRAN (IQNA)-Watu 158 wamesilimu nchini Oman katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3471055 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/07