TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.
                Habari ID: 3474846               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/01/24