Uislamu Duniani
IQNA – Mji wa Sao Paulo nchini Brazil ni mwenyeji wa Mkutano wa 37 wa Kimataifa wa Waislamu wa Amerika Kusini na Karibiani.
Habari ID: 3479841 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02
TEHRAN (IQNA)- Kituo kimoja ya Qur’ani Tukufu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kimefungua matawi katika nchi zote za bara la Amerika Kusini .
Habari ID: 3475053 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/19