iqna

IQNA

IQNA – Jumba la Makumbusho moja jijini Istanbul limezindua uzoefu wa hali halisi ya mtandao (Virtual Reality – VR ) unaowawezesha wageni kutembelea Msikiti wa Al-Aqsa na mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel, kana kwamba wanatembea humo kwa miguu.
Habari ID: 3481339    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/07

Uislamu na teknolojia
TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la masuala ya uchumi wa Kiislamu limetangaza kuzindua Metaverse ya kwanza ya Kiislamu ambayo inaenda sambamba na mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3475282    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22