CAIRO (IQNA) - Duru ya Qur'ani ilifanyika katika Msikiti wa Imam Hussein (AS) huko Cairo kwa kushirikisha baadhi ya makari mashuhuri.
Habari ID: 3477751 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18
Mjue Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri Sheikh Ahmad Al-Tayyib ameutembelea Msikiti wa Imam Hussein (AS) mjini Cairo na kukagua kazi ya ukarabati iliyofanywa katika msikiti huo na majengo mengine yanayohusiana nao.
Habari ID: 3475319 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31