iqna

IQNA

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Sheikh wa Al-Azhar wa nchini Misri, akijibu barua ya mkuu wa vyuo vya kidini vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ameeleza matumaini yake kuwa msimamo wa pamoja uliochukuliwa na Waislamu hivi karibuni katika kukabiliana na suala la kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu utakuwa kichocheo cha kutatua tofauti na kuleta umoja baina yao.
Habari ID: 3477367    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/01

Mjue Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri Sheikh Ahmad Al-Tayyib ameutembelea Msikiti wa Imam Hussein (AS) mjini Cairo na kukagua kazi ya ukarabati iliyofanywa katika msikiti huo na majengo mengine yanayohusiana nao.
Habari ID: 3475319    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31