iqna

IQNA

IQNA – Kinachofuata ni qiraa au usomaji wa aya za 33-35 za Surah Maryam na qari maarufu wa Misri marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3479952    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/25

Sura za Qur'ani Tukufu /19
TEHRAN (IQNA) – Bibi Maryam, mama yake Nabii Isa (AS), ametajwa ndani ya Qur'ani Tukufu kuwa ni mwanamke mwema aliyetakasika, ambaye hakuwa mtume bali alilelewa kama nabii na ambaye mwenendo wake ulikuwa kama ule wa Mitume wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475521    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/21