Njama za Wazayuni
TEHRAN (IQNA) –Saudi Arabia inasema imemkamata raia wake ya ambaye alimuwezesha mwandishi habari Yahudi Muisraeli kuingia katika mji mtakatifu wa Makka, jambo ambalo ni kinyume cha sheria kwani wasio Waislamu hawaruhusiwi kuingia katika eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3475522 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/22