TEHRAN (IQNA)-Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim AS.
Habari ID: 3470934 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/14
Njama mpya
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha njama mpya katika Msikiti wa Al Aqsa kwa kuongeza masaa ambayo Wazayuni wanaruhusiwa kuwa ndani ya msikiti huo yaani kuuhujumu.
Habari ID: 3470720 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/06
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha azimio na kusema Msikiti wa Al Aqsa ni milki ya Waislamu kwamba Mayahudi hawana haki katika msikiti huo.
Habari ID: 3470611 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14
Genge la Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakipata himaya ya askari wa utawala haramu wa Israel wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3470347 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/30