iqna

IQNA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambon ya Nje wa Iran amesema Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za Kiislamu OIC inapaswa kujikita katika malengo yake makuu ambayo ni kuimarisha umoja na mshikamano wa Kiislamu, kukomesha uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina
Habari ID: 3471099    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Hija ni fursa bora ya mahali na wakati kwa Umma wa Kiislamu kutangaza misimamo kuhusu kadhia ya Palestina, msikiti wa Al-Aqsa na uwepo wenye malengo maovu wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3471094    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/30

TEHRAN- (IQNA)-Askari wa utawala wa Kizayuni wa israel wamewavamia Wapalestina waliofanya mgomo wa kukaa kitako katika msikiti wa Al-Aqsa na kuwatia nguvuni zaidi ya watu mia moja.
Habari ID: 3471092    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/28

TEHRAN (IQNA)-Taasisi za Kiislamu Palestina zimechukua hatua za pamoja kupinga vizingiti vilivyowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa al-Aqsa.
Habari ID: 3471084    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/25

Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba 'unacheza na moto' kutokana na kushadidisha ukandamizaji dhidi ya Wapalestina wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3471082    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/24

TEHRAN (IQNA)-Wanajeshi 15,000 wa utawala wa Kizayuni wa Israel leo wameuzingira msikiti wa al-Aqsa na kuwazuia Waislamu kuswali Ijumaa huku kukiwa na sheria kali za usalama.
Habari ID: 3471077    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/21

TEHRAN (IQNA)-Ulimwengu wa Kiislamu umelaani hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuufunga Msikiti wa al Aqsa katika mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu baada ya oparesheni ya Wapalestina dhidi wanajeshi wa Kizayuni karibu na msikiti huo.
Habari ID: 3471067    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/15

TEHRAN (IQNA)-Kamati ya Utendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Utamaduni na Sayansi UNESCO Jumanne ilipitisha azimio ambalo liliulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kukiuka sheria za kimataifa katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470966    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/03

TEHRAN (IQNA)-Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim AS.
Habari ID: 3470934    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/14

Njama mpya
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha njama mpya katika Msikiti wa Al Aqsa kwa kuongeza masaa ambayo Wazayuni wanaruhusiwa kuwa ndani ya msikiti huo yaani kuuhujumu.
Habari ID: 3470720    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/06

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha azimio na kusema Msikiti wa Al Aqsa ni milki ya Waislamu kwamba Mayahudi hawana haki katika msikiti huo.
Habari ID: 3470611    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14

Genge la Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakipata himaya ya askari wa utawala haramu wa Israel wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3470347    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/30