TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) imetoa wito wa kuadhimishwa ‘Wiki ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem)’ kwa lengo la kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3473699 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/03
TEHRAN (IQNA)- Mji Mtakatifu wa Quds (Jerusalem) umeshuhudia tukio nadra ya mvua ya theluji Alhamisi.
Habari ID: 3473666 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/20
TEHRAN (IQNA) – Makumi ya walowezi wa Kizayuni siku ya Alhamisi waliuhujumu uwanja wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) wakiwa wanalindwa na askari wa utawala haramu wa Israel ambapo wametekeleza ibada za Kiyahudi katika eneo hilo takatifu la Waislamu.
Habari ID: 3473265 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/16
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ekrima Sa'id Sabri, Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu katika mji wa Quds (Jerusalem) na khatibu katika Msikiti wa Al Aqsa mjini humo ametahadharisha kuhusu njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kutaka kutwaa sehemu ya msikiti huo ambao ni qibla cha kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3473249 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/11
TEHRAN (IQNA) - Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.
Habari ID: 3473017 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Maulamaa wa Yemen limeyatolea mwito mataifa ya Kiislamu wa kuyataka yatekeleze jukumu lao la kuuhami msikiti wa al-Aqsa na Haram Mbili tukufu za Makka na Madina katika kukabiliana na chokochoko za Wazayuni na utawala wa Aal Saud.
Habari ID: 3472971 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/17
TEHRAN (IQNA) –Zaidi ya Waislamu 30,000 wameshiriki katika Swala ya Ijumaa katika msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) huku wakizingatia kanuni za afya zilizowekwa na idara ya wakfu mjini humo kwa lengo la kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472903 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/27
TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa kijasusi wa utawala haramu wa Israel Ijumaa walimkamata Imamu wa Msikiti wa Al Aqsa Sheikh Ekrima Sabri akiwa nyumbani kwake Quds (Jerusalem) Mashariki.
Habari ID: 3472814 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/29
TEHRAN (IQNA) - Wanjeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wamefika katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) kwa lengo la kushiriki katika Swala ya Idul Fitr.
Habari ID: 3472796 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/24
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) utafunguliwa kwa waumini baada ya siku kuu ya Idul Fitr.
Habari ID: 3472781 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/19
TEHRAN (IQNA) – Sala za jamaa zimesitishwa kwa muda katika Msikiti wa Al- Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa corona au COVID-19.
Habari ID: 3472595 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/23
TEHRAN (IQNA) – Idara ya Wakfu ya Mji wa Quds (Jerusalem) imeanza oparesheni ya kunyunyizia dawa ya kuua virusi vya Corona katika Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3472552 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/10
TEHRAN (IQNA) – Wapalestina yametoa wito kwa jamii ya kimataifa ichukua hatua za kuulinda Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3472183 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/22
Katika Siku ya Kimataifa ya Msikiti
TEHRAN (IQNA)- Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mjini Tehran amezikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya kuukomboa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3472094 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/21
TEHRAN (IQNA)- Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumanne waliuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) na kuwajeruhi Wapalestina waliokuwa wakifanya ibada katika eneo hilo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu.
Habari ID: 3471847 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/20
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Wapalestina Jumanne wameswali Sala ya Idul Adha katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471642 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/22
TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 49 iliyopita, inayosadifiana na 21 Agosti 1969, Masjidul Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu, kilichomwa moto na Wazayuni.
Habari ID: 3471641 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/21
TEHRAN (IQNA)-Nchi za Kiislamu zilizo na uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel zimetakiwa zikate uhusiano huo mara moja kama njia ya kuunga mkono ukombozi wa Palestina hasa mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3471375 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/29
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya ametoa indhari kuhusu njama mpya za Marekani dhidi ya mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3471321 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/23
TEHRAN (IQNA)- Agosti 21 miaka 48 iliyopita, yaani mwaka 1969 Miladia, Msikiti wa al-Aqsa Kibla cha Kwanza cha Waislamu ulihujumiwa na kuteketezwa moto na Wazayuni kwa himaya ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3471136 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/22