IQNA – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Lebanon, Hizbullah, imetoa wito kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (AL), vituo vya kielimu na kisayansi vya Umma wa Kiislamu, pamoja na wapenda uhuru duniani kuchukua hatua za haraka kutimiza wajibu wao wa kihistoria kuhusu Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3480554 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/17
IQNA – Rais wa zamani wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar amesema kuwa Qur'ani Tukufu inaangazia utambulisho wa Kiislamu wa Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3480552 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/16
IQNA- Kikao cha kumi na nne cha kila wiki cha Tafsiri ya Qur'anI katika Msikiti wa Al-Azhar nchini Misri kitafanyika kwa mada "Msikiti wa Al-Aqsa katika Quran".
Habari ID: 3480536 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13
IQNA – Wapalestina pamoja na nchi za eneo la Asia Magharibi zimelaani vikali uvamizi wa waziri wa mrengo wa kulia wa utawala ghasibu wa Israel, Itamar Ben-Gvir, kwenye uwanja wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3480488 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/03
IQNA-Takriban Wapalestina 120,000 walikusanyika kwa ajili ya Swala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel licha ya vikwazo vilivyowekwa na vikosi vya utawala huo dhalimu.
Habari ID: 3480476 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31
IQNA – Wapalestina wanaendelea kushiriki katika Swala za jamaa katika Msikiti wa Al-Aqsa katika jiji takatifu la al-Quds kwa wingi wakati wa Ramadhani licha ya vizuizi vinavyowekwa na utawala dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3480443 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/26
IQNA – Takriban Wapalestina 70,000 walikusanyika katika eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu ili kuswali siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu Ramadhani.
Habari ID: 3480287 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02
IQNA – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imewataka Wapalestina kufika katika Msikiti wa Al-Aqsa katika al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, ikiwahimiza kushiriki katika ibada, ikiwemo itikafu.
Habari ID: 3480283 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/01
IQNA – Idadi kubwa ya Wapalestina walihudhuria mazishi yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Al-Quds siku ya Jumatatu kwa ajili ya msomaji wa Qur'ani Tukufu wa Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3480268 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/25
IQNA-Vikosi vya utawala vamizi wa Israel vimemkamata na kumpiga marufuku Sheikh Najeh Bakirat, kiongozi mashuhuri wa Kiislamu Palestina kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa ulioko jijini Al Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3480246 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/21
Kadhia ya Palestina
IQNA – Sheikh Ekrema Sabri, Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel, amesema sauti ya Adhana (wito wa Waislamu wa kuswali) itaendelea kusikika huko Palestina milele.
Habari ID: 3479850 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03
Shughuli za Qur'ani
IQNA – Kuba la Musa katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa al-Quds linachukuliwa kuwa kituo cha kwanza cha kufundisha Qur'ani huko Palestina.
Habari ID: 3479775 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/19
Jinai za Israel
IQNA - Ukatili wa utawala haramu wa Israel huko Gaza na Lebanon katika mwaka uliopita umesababisha kuundwa kwa muungano wa mataifa ya Kiislamu "kwa njia ambayo haikutarajiwa", amesema mwanazoni mwandamizi wa Iran.
Habari ID: 3479667 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29
Jinai za Israel
IQNA - Mamia ya walowezi wa Kizayuni wamevamia eneo la Msikiti wa al-Aqsa katika Mji Mkongwe wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu siku ya Jumapili, chini ya ulinzi wa wanajeshi wa Israel.
Habari ID: 3479625 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/21
Muqawama
IQNA – Wananchi wa Palestina katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem)wamehimizwa na makundi mbalimbali kuzuru Msikiti wa Al-Aqsa kwa wingi katika mnasaba wa Milad –un-Nabi
Habari ID: 3479443 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16
Jinai za Israel
IQNA-Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa Sheikh Ekrima Sabri amesema, kauli aliyotoa hivi karibuni waziri wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi.
Habari ID: 3479338 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27
Msikiti wa Al Aqsa
IQNA - Utawala wa Israel umetangaza mpango wa kufadhili walowezi haramu wa Israel kuvamia Msikiti wa al-Aqsa katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la al-Quds (Jerusalem) katika hatua nyingine ya uchochezi inayolenga eneo hilo la tatu kwa utakatifu katika Uislamu.
Habari ID: 3479334 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27
Muqawama
IQNA – Utawala dhalimu wa Israel umetangaza marufuku ya miezi sita kwa Sheikh Ekrema Sabri, Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa ambapo katika muda huo atazuiwa kuingia katika msikiti huo mtakatifu ulio katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3479248 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09
Kadhia ya Palestina
IQNA-Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Iddul Adh'ha iliyosaliwa leo kwenye Msikiti wa al-Aqsa mjini Baitul Muqaddas, licha ya kuwekewa vizuizi na kukabiliwa na hatua kali za kiusalama zilizochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mji huo unaoukalia kwa mabavu.
Habari ID: 3478971 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/16
Jinai za Israel
IQNA - Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) siku ya Jumatatu chini ya ulinzi mkali wa wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel ambao unakalia eneo hilo kwa mabavu.
Habari ID: 3478720 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/23