Jinai za Israel
IQNA - Idara ya Wakfu ya Kiislamu, inayosimamia Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem), imesema leo kwamba ni waumini 15,000 pekee walioruhusiwa kuingia katika eneo hilo takatifu kwa ajili ya Sala ya Ijumaa kutokana na vikwazo vilivyowekwa na utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3478154 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/05
IQNA - Idara ya Waqfu ya Kiislamu huko al-Quds (Jerusalem) imesema kumeshuhudiwa ongezeko la idadi ya walowezi wa Kizayuni waliouhujumu Msikiti wa Al-Aqsa mwaka jana.
Habari ID: 3478133 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02
Jinai za Israel
IQNA – Mji wa Al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel Ijumaa umeshuhudia vikosi vya Israel vikitumia gesi ya kutoa machozi na nguvu ziada kuwatawanya waumini karibu na eneo la Msikiti wa Al-Aqsa huku watu wengi wakiugua kwa kuvuta gesi hiyo ya machozi.
Habari ID: 3478072 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/22
Quds Tukufu
IQNA - Sheikh Ekrima Sabri, mhubiri wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), aliitwa na mamlaka ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhojiwa siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478052 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/18
Jinai za Israel
IQNA - Maelfu ya Wapalestina hawakuweza kuhudhuria sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) kwa wiki ya kumi kutokana na vizingiti vilivyowekwa na utawala dhalimu wa Israel tangu kuanza kwa vita dhidi ya Gaza mnamo Oktoba 7.
Habari ID: 3478040 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16
Fatwa
CAIRO (IQNA) – Taasisi ya Dar ul Ifta ya Misri imetangaza kuwa hairuhusiwi au haijuzu kidini kuupa msikiti wowote jina la Al-Aqsa.
Habari ID: 3477955 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/28
Kadhia ya Palestina
AL-QUDS (IQNA) - Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa al-Quds (Jerusalem) ni mahali pa ibada kwa Waislamu peke yao na ni haki takatifu isiyopingika kwao, mkuu wa Kamati ya Juu ya Rais ya Masuala ya Kanisa huko Palestina alisema.
Habari ID: 3477628 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/20
Kadhia ya Palestina
Al QUDS (IQNA) - Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa ya jana iliyosaliwa kwenye Msikiti wa Al-Aqsa mjini Al Quds (Jerusalem) licha ya kuwekewa vizuizi na kukabiliwa na hatua kali za kiusalama zilizochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mji huo unaoukalia kwa mabavu.
Habari ID: 3477538 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/02
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kundi la kutetea haki za binadamu limeonya kuhusu njama ya utawala ghasibu wa Israel kugeuza Jumba la Sala la Bab Al-Rahma katika Msikiti wa Al-Aqsa kuwa sinagogi.
Habari ID: 3476917 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/26
Ulimwengu wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mashambulizi ya Wazayuni katika eneo la Babul Rahma katika Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa.
Habari ID: 3476910 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/24
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Idara ya Wakfu wa Kiisalmu katika mji wa Al-Quds (Jerusalem) imetangaza kwamba wamini milioni nne walisali siku mbali mbali katika Msikiti wa Al-Aqsa katika kipindi kizima cha mwezi uliobarikiwa wa Ramadhani licha ya vizuizi vikali vilivyowekwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476899 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/21
Msikiti wa Al Aqsa
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wapatao 250,000 wa Kipalestina walishiriki katika Sala ya mwisho ya Ijumaa ya Ramadhani 2023 katika Msikiti wa Al-Aqsa jana.
Habari ID: 3476874 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/15
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel leo hii uko katika hali dhaifu sana katika historia yake na kwamba, nguvu ya harakati ya muqawama imeulazimisha utawala huo kutoa majibu ya woga.
Habari ID: 3476839 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/09
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitisha mkutano wa dharura kujadili hali ilivyo katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, baada ya askari wa utawala haramu wa Israel kuvamia Msikiti wa al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na kuwalenga waumini wa Kipalestina kwa guruneti.
Habari ID: 3476827 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala katili wa Israel lilishambulia maeneo ya Lebanon na Palestina katika Ukanda wa Gaza mapema Ijumaa, kufuatia kuvurumishwa makombora ya kulipiza kisasi kutoka Gaza na Kusini mwa Lebanon kutokana na mashambulizi ya kinyama ya utawala huo dhidi ya waumini wa Kipalestina ndani ya Msikiti wa al-Aqsa katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3476825 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, damu mashahidi wa Palestina italinda utambulisho wa Kipalestina, Kiarabu na Kiislamu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqsa ulio katika mji wa Quds au Jerusalem.
Habari ID: 3476796 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/01
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amelaani vikali uvamizi wa wanajeshi wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3476764 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/26
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu kuhujumu na kuuvamia Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3476714 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/16
Jinai za Isarel
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa Wazi wa Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) Jumanne ulifanyika kuchunguza kuendelea hujuma za Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), kwa ombi la Dola ya Palestina na Ufalme wa Jordan.
Habari ID: 3476381 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/10
Ukombozi wa Quds
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatahadharisha viongozi wa nchi za Kiislamu kuhusuu njama za kila namna za serikali mpya ya kifashisti ya Israel na kuwataka waamke kuuokoa Msikiti wa Al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3476360 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/05