Waislamu na Michezo
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji wa Morocco Noussair Mazraoui wa Bayern Munich na Msenegali Sadio Mane, ambao ni Waislamu, wamekataa kupiga picha wakiwa wamebeba glasi ya bia katika picha ya kila mwaka ya klabu hiyo ya Bavaria, Ujerumani kutokana na imani yao za kidini.
Habari ID: 3475713 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31