Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Hisia ya woga huja mtu anapokutana na hali ya hatari au ya kutisha. Lakini maandiko ya kidini pia yanazungumzia kuhusu kumuogopa Mwenyezi Mungu. Hofu ina maana gani hapa ilhali Mwenyezi Mungu ameelezwa kuwa ni Mwenye Huruma na Mwenye kurehemu?
Habari ID: 3475738 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05