iqna

IQNA

nabii
Shakhsia katika Qur'ani /21
TEHRAN (IQNA) - Watu wengi hawana subira mbele ya matatizo lakini wanapaswa kujua kwamba Mwenyezi Mungu anaweka magumu kwenye njia ya watu ili kuwajaribu. Nabii Ayub-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake (AS)-ambaye alikuwa ni mwenye kumshukuru Mwenyezi Mungu hata katika hali ngumu sana, anaweza kuwa mfano wa kuigwa katika suala hili.
Habari ID: 3476274    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu / 13
TEHRAN (IQNA) – Ni sunna ya Mwenyezi Mungu huwajaribu waja wake na mitihani hii wakati mwingine ni rahisi na wakati mwingine migumu. Hakuna mtu mwingine ambaye angeweza kustahimili mitihani ambayo Mwenyezi alimpa Nabii Ibrahim (AS).
Habari ID: 3476252    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/15

Shakhsia Katika Qur’ani /16
TEHRAN (IQNA) – Ismail alikuwa mtoto wa kwanza wa Nabii Ibrahim –Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-(AS). Baada ya kuzaliwa, Ismail alipelekwa Makka pamoja na mama yake Hajar kwa amri ya Mwenyezi Mungu. Uhamaji huu ulikuwa mwanzo wa historia iliyotangaza kuwasili kwa Uislamu.
Habari ID: 3476124    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/21

Shakhsia katika Qur'ani/9
TEHRAN (IQNA) – Katika historia, adhabu mbalimbali zimetumwa na Mwenyezi Mungu kwa wale waliofanya madhambi makubwa. Adhabu ya kwanza kati ya hizo ilikuwa gharika iliyokuja wakati Nuhu (AS) alipokuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475884    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05

Tehran-IQNA- Waislamu nchini Uganda Jumamosi iliyopita waliadhimisha Maulid (kumbukumbu ya kuzaliwa ) Bwana Mtume Muhammad SAW huku wakitoa wito wa amani na umoja katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki inayokumbwa na migawanyiko miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 2677812    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/06

Hivi Wakristo duniani wanaadhimisha siku ya kuzaliwa Nabii Isa AS. Mamia ya mamilioni ya Wakristo duniani katika makundi yao tofauti wanaadhimisha kuzaliwa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu, rehema za Allah ziwe juu yake na mama yake mtoharifu.
Habari ID: 2638287    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/27