iqna

IQNA

Qur’ani Tukufu Inasemaje/12
TEHRAN (IQNA) – Vigezo vya kutenda mema kumcha Mwenyezi Mungu vimetajwa katika aya moja ya Qur’ani Tukufu na vinaangazia mtazamo wa Qur’ani kuhusu jinsi Waislamu wanavyopaswa kuwa na tabia na imani wanazopaswa kuwa nazo.
Habari ID: 3475950    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/18