Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Ayatullah Ammar al-Hakim, kiongozi wa Harakati ya Al-Hikma (Hekima) ya Iraq, amekutana na mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri Sheikh Ahmed al-Tayyib.
Habari ID: 3477073 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/30
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umekaribisha wito wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri wa kuimarisha umoja kati ya Waislamu ndani ya mfumo wa kanuni za Kiislamu.
Habari ID: 3476058 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/08