Ukweli Katika Qur'ani / 5
TEHRAN (IQNA) – Ikiwa dini inazingatiwa kama mpango na mtindo wa maisha, ni wazi kwamba muumini anaishi maisha yaliyojaa malengo mema, matumaini na furaha. Mtu kama huyo hatawahi kupata sababu ya kufikiria kujiua.
Habari ID: 3476128 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/22
Ukweli Katika Qur’ani /4
TEHRAN (IQNA) – Kulingana na takwimu za Shiŕika la Afya Duniani (WHO), takribani watu 800,000 hufa kwa kujiua kila mwaka. Hali kadhalika watu takribani milioni 16 hufikiria kujiua.
Habari ID: 3476119 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20
Ukweli Katika Qur’ani Tukufu /3
TEHRAN (IQNA) – Tafiti za kisayansi zinathibitisha kwamba wasiomuamini Mwenyezi Mungu ndio watu walio hatarini zaidi na ndio wanaokata tamaa maishani na hivyo kiwango cha kujiua miongoni mwao ni kikubwa sana.
Habari ID: 3476088 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14