Arbaeen 1446
IQNA- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesisitiza kuwa misimamo yote ya uungaji mkono wa Palestina inatokana na harakati ya Imam Hussein (AS) na akasema: Kukusanyika kwetu leo katika barabara ya kuelekea Karbala ni dhihirisho la ushindi harakati ya Imam Hussein (AS) na dalili zinaashiria kuangamizwa Israel na ushindi wa uhakika wa Gaza.
Habari ID: 3479327 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25
Harakati ya Kiislamu Nigeria
TEHRAN (IQNA) – Katika kumbukumbu ya miaka 7 ya mauaji ya umati ya Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Nigeria huko Zaria, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) alisimulia matukio ya siku hizo katika mahojiano.
Habari ID: 3476244 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/13
Maandamano yamefanyika katiak maeneo mbali mbali duniani ikiwa ni pamoja na Iraq, Bahrain, Uingereza na Pakistan kulaani mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Nigeria.
Habari ID: 3465571 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/18
Mwana wa kiume wa Sheikh Ibrahim Zakzaky wa nchini Nigeria amesema familia bado haijazungumza na kiongozi huyo wa Waislamu wa madhehebu ya Shia tangu alipokamatwa na kwa mantiki hiyo hawana uthibitisho wowote kama yuko hai au la.
Habari ID: 3465562 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/18
Jumuiya ya Waislamu nchini Nigeria imelaani mauaji ya Waislamu wa Kishia yaliyotekelezwa katika siku ya kimataifa ya Quds. Kwa mujibu wa ripoti hiyo jumuiya hiyo imelaani mauaji hayo iliyoyataja kuwa ya kinyama.
Habari ID: 1434577 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/28