Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
        
        TEHRAN (IQNA) – Kufuatia kifo cha Faqihi mashuhuri wa madhehebu ya Shia Ayatullah Mohammad Sadeq Rouhani, Marjaa Taqlid wa Iraq Ayatullah Seyed Ali al-Sistani alitoa ujumbe wa rambirambi siku ya Jumamosi.
                Habari ID: 3476262               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/12/17