IQNA-Vehbi Ismail Haki (1919–2008) alikuwa mwandishi, imam na msomi mashuhuri kutoka Albania aliyechangia pakubwa kusambaza utamaduni wa Kiislamu na maarifa ya Qur’ani kwa watu wa taifa lake kupitia maandiko kwa Kiarabu, Kiingereza na Ki albania . Alizaliwa Shkodra, mji wa kaskazini wenye historia ndefu ya elimu ya Kiislamu tangu enzi za Waothmani.
Habari ID: 3481523 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/16
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /12
TEHRAN (IQNA) – Shughuli za kutarjumi Qur'ani Tukufu imeshuhudia maendeleo makubwa katika eneo la Balkan katika miongo ya hivi karibuni.
Habari ID: 3476273 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/11
TEHRAN (IQNA) - Fathi Mahdiyu ni msomi ambaye ametafsiri Kurani nzima kwa Ki albania huko Kosovo. Katika kitabu chake cha hivi punde zaidi ambacho kimetafsiriwa na kuchapishwa kwa Kiarabu hivi karibuni, anazungumzia mwenendo wa tafsiri ya Qur'ani katika nchi za Balkan.
Habari ID: 3476263 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/17