Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu/14
TEHRAN (IQNA) – Kitabu kiitwacho ‘Mabahith fi Tafsir al-Madhuei’ (Majadiliano Kuhusu Tafsiri ya Kimadhari) ni mojawapo ya kazi kuu za mwanazuoni wa Syria Sheikh Mustafa Muslim kuhusu tafsiri ya Qur’ani.
Habari ID: 3476352 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03