Njama dhidi ya Al Aqsa
        
        TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili amesema, mwenendo ulioanzishwa na baraza la mawaziri la utawala haramu wa Kizayuni lenye misimamo ya kufurutu ada wa kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa unamaanisha kutangaza vita dhidi ya Umma wa Kiislamu.
                Habari ID: 3476409               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/01/15