iqna

IQNA

hatua
Sura za Qur'ani Tukufu /57
TEHRAN (IQNA) - Kuna hatua tofauti katika maisha ya mtu ambayo kila moja ina sifa zake kutokana na umri na masharti ya mtu. Kwa mujibu wa Sura Al-Hadid ya Qur'ani Tukufu, maisha ya mwanadamu yana hatua tano.
Habari ID: 3476411    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/16