iqna

IQNA

Sura za Qur'ani Tukufu / 59
TEHRAN (IQNA) – Baada ya Waislamu kuhama au kugura kutoka Makka kwenda Madina, makundi ya Wayahudi waliokuwa wakiishi katika mji huo walishirikiana na Waislamu, wakiahidi kuwaunga mkono endapo vita vitatokea.
Habari ID: 3476480    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/29