Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Nauryzbai Haji Taganuly, Mufti Mkuu wa Jamhuri ya Kazakhstan, amsema ni wajibu kwa wanazuoni wa Kiislamu kufanya kazi kwa ajili ya kuimarisha umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3476570 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16