Tuwajue Wasomaji Qur'ani
IQNA – Qari wa Misri, Shahat Muhammad Anwar, alikuwa mmoja wa wasomaji maarufu zaidi wa Qur'ani Tukufu, hadi aliitwa 'Amir al-Nagham (mfalme wa sauti ya usomaji).
Habari ID: 3480040 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/12
TEHRAN (IQNA) – Visomo vya Aya za Surah Al-Balad vya maqarii wawili wa Iraqi na wengine wawili kutoka Iran na Misri vimeunganishwa hivi karibuni kwenye klipu.
Habari ID: 3477056 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/28
Msomaji Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Qari mashuhuri wa Misri Mahmoud Shahat Anwar amesafiri kwenda Visiwa vya Comoro kusoma Qur'ani Tukufu huko katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476881 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/17