Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtuma ujumbe wa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis I na Wakristo wote kwa mnasaba wa kuwadia siku ya kukumbuka kuzaliwa Nabi Issa Masih AS na kuwadia mwaka mpya Miladia.
Habari ID: 1347427 Tarehe ya kuchapishwa : 2013/12/28