Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu Iran Ayatullah Hashemi Rafsanjani amesema kuwa Qur'ani tukufu ilikuwa chanzo cha shakhsia na mafanikio makubwa ya hayati mwanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini MA.
Habari ID: 3428213 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/01
Ayatullah Rafsanjani
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, Saudi Arabia haitofikia malengo yake kwa mashambulizi yake ya anga dhidi ya wananchi wa Yemen.
Habari ID: 3156548 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/16
Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Mfalme Abdullah bin Abdulaziz wa Saudi Arabia ya kumtaka azuie kutekelezwa hukumu ya adhabu ya kifo iliyotolewa dhidi ya mwanazuoni wa Kishia wa nchi hiyo Sheikh Nimr Baqir an-Nimr.
Habari ID: 1463760 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/26
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu amesema kuhusiana na mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani kwamba, mazungumzo hayo yanaweza kutatua masuala yote kama nchi za Magharibi zitaacha kutoa visingizio.
Habari ID: 1373535 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/10