Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia, amekadhibisha taarifa iliyosambazwa na vyombo vya habari kuhusiana na kuhamishiwa nchini humo ofisi ya Sheikh Yusuf Qardhawi, Mkuu wa Muungano wa Kimatiafa wa Maulama Waislamu.
Habari ID: 1394424 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/13