Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Malaysia yametoa wito wa kususiwa bidha za chokleti za Shirika la Cadbury baada ya uchunguzi wa DNA kubaini kuwa kuna vipande vidogo vidogo sana vya nyama ya nguruwe katika bidhaa za shirika hilo la kutengeneza chokleti.
Habari ID: 1412085 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/29