Mjumbe mwandamizi wa Kamati ya Afya ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA amesema kuwa, wachezaji Wais la mu watakaofunga mwezi mtukufu wa Ramadhani, hawataathirika kiafya wakati wa kuendelea michuano ya kombe la dunia nchini Brazil.
Habari ID: 1422159 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/24