iqna

IQNA

Magaidi wa kitakfiri nchini Iraq wameendelea kubomoa turathi za kidini mna maeneno matakatifu ambapo katika tukio la hivi karibuni wamebomoa msikiti wa kale wa Nabii Shayth AS (Seth) katika mji wa Mosul.
Habari ID: 1433798    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/27