Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuendelea kimya na kutojali Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC ndio chanzo kikuu ambacho kimeufanya utawala wa Kizayuni wa Israel uendelee kupata kiburi cha kuendeleza jinai zake dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 1435944 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/04