Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa sera za uharibifu za utawala wa Aal Saud na kusema kuwa hatua ya utawala huo ya kuishambulia nchi jirani yake ni ya kichokozi na yenye kudhihirisha uistikbari wa utawala huo.
Habari ID: 3390838 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/20
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kusitisha hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3269138 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/07
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya mgaidi wa kundi la Daesh (ISIL) kumuwa kinyama rubani wa Jordan aliyekuwa ametekwa nyara na kundi hilo.
Habari ID: 2811515 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/04
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka jamii ya kimataifa na hususan mashirika ya misaada ya kibinadamu kuushinikiza utawala wa Kizayuni uache kuuzingira Ukanda wa Ghaza na uruhusu misaada ya kibinadamu iwafikie wakazi wa ukanda huo uliozingirwa kila upande.
Habari ID: 1440685 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/18