iqna

IQNA

Pendekezo la kutaka kufukuliwa kaburi la Mtukufu Mtume Muhammad (saw) lililoko Masjid al-Nabawi mjini Madina na kuhamishwa mabaki ya mwili wa mtukufu huyo kwenda kuzikwa katika ma kaburi ya Baqii, Saudia, limekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa maulama wa Chuo Kikuu cha al-Azhar nchini Misri
Habari ID: 1446838    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/06