Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kufanya kikao hivi karibuni cha kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Magharibi.
Habari ID: 3477587 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/12
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shambulio la kimtandao (cyber attack) dhidi ya vituo vya mafuta vya Jamhuri ya Kiislamu ni njama za maadui zilizolenga kuwahamakisha na kuvuruga maisha ya kila siku ya Wairani.
Habari ID: 3474485 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28
Uchunguzi wa Maoni
IQNA: Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa Waislamu wengi Uingereza wanaamini kuwa serikali ya Marekani ndiyo iliyotekeleza hujuma za kigaidi nchini humo Septemba 11, 2001.
Habari ID: 3470715 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/04
Habari ID: 3470460 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18
Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia ametangaza hali ya hatari ya siku 30 kufuatia shambulizi dhidi ya basi lililokuwa limewabeba maafisa usalama wa nchi hiyo hapo .jana
Habari ID: 3457119 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25
Kiongozi wa Ansarullah Yemen
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema watu wa nchi yake watailinda ardhi yao na hawatatoa muhanga 'heshima' na 'uhuru' mbele ya hujuma zisizo na kikomo za Saudi Arabia.
Habari ID: 3385390 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14
Misikiti Marekani imetakiwa kuwa katika hali ya tahadhari na kuimarishwa usalama kutokana na ghasia zinazotazamiwa kuibuliwa Oktoba 10 na makundi ya watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu ambao wataandamana siku hiyo.
Habari ID: 3382994 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/07
Shirika la Afya Duniani WHO limeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadmau nchini Yemen na kusema na kusema mkoa wa Aden unakabiliwa na hali maafa ya kiafya.
Habari ID: 3328804 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16
Magaidi wa kundi al Qaida wamemuua imam mmoja wa Yemen anayefahamika kwa kupinga mashambulizi ya umwagaji damu yaliyoanzishwa na Saudia katika ardhi ya Yemen mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
Habari ID: 3316631 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/21
Jamii ya kimataifa inaendelea kulaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3306740 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/23
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hujuma ya kinyama ya Saudi Arabia katika jirani ya Yemen ni kosa la kistratejia.
Habari ID: 3277848 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/10
Makamu wa zamani wa rais wa Misri Mohammad El Baradei Ijumaa ametuma aya ya Qur’ani kupitia mtandao wa kijamii wa twitter kujibu hujuma za kigaidi zilizotekelezwa na wanamgambo katika eneo la Sinai nchini Misri ambapo watu 30 waliuawa.
Habari ID: 2790529 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31