Imedokezwa kuwa Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia amelazwa hospitalini mjini Riyadh na sasa yuko katika hali mahututi.
Habari ID: 3382527 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/06
Maafa ya Mina
Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametoa mkono wa pole kwa serikali na watu wa Iran kufuatia vifo vya Wairani katika maafa yaliyojiri Mina karibu na Makka wakati wa ibada ya Hija hivi karibuni.
Habari ID: 3377239 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02
Mfalme Salman wa Saudi Arabia ametoa amri ya kukusanywa kanda zote za kamera zilizosajili maafa ya kusikitisha ya Mina.
Habari ID: 3372681 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/28
Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Mfalme Abdullah bin Abdulaziz wa Saudi Arabia ya kumtaka azuie kutekelezwa hukumu ya adhabu ya kifo iliyotolewa dhidi ya mwanazuoni wa Kishia wa nchi hiyo Sheikh Nimr Baqir an-Nimr.
Habari ID: 1463760 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/26