iqna

IQNA

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa, ibada ya hija ni fursa bora kabisa kwa ajili ya kukabiliana na njama za kuitenganisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ulimwengu wa Kiislamu na nara yake ya ‘kukabiliana na shubha na propaganda zinazoenezwa na maadui wa Uislamu’ na kutoa jibu mwafaka kwa mahitaji ya kimaanawi na kifikra za mahujaji.
Habari ID: 1465135    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/28