Ayatullah Sheikh Issa Qassim Kiongozi mkubwa wa kidini nchini Bahrain ametoa wito kwa wananchi wa nchi hiyo kuendelea kusimama kidete na kukabiliana na changamoto kubwa zinazowakabili ikiwemo dhulma inayofanywa na utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa.
Habari ID: 2612719 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/29