manchester

IQNA

IQNA – Pep Guardiola kocha wa timu ya Ligi Kuu ya Soka Uingereza (EPL), Manchester City, ameeleza hadharani uungaji mkono wake kwa wananchi wa Palestina, akielekeza macho ya ulimwengu kwenye janga kubwa la kibinadamu linaloikumba Gaza, wakati wa tukio la hadhara lililofanyika hivi karibuni.
Habari ID: 3481871    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/30

IQNA – Mashambulizi mawili ya hivi karibuni dhidi ya msikiti mmoja huko Greater Manchester nchini Uingereza yamewaacha waumini wakihisi kutokuwa salama, kwa mujibu wa Imam wake.
Habari ID: 3481189    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/06

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameushambulia na kuuharibu vibaya msikiti katika mji wa Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3471072    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18

Kongamano la Kimataifa kuhusu masomo ya Qur'ani Tukufu limemalizika katika mji wa Manchester nchini Uingereza.
Habari ID: 3470463    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18