iqna

IQNA

Mkutano wa 10 wa Mawaziri wa Habari wa nchi za Kiislamu (ICIM) umefanyika Jumatano hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Is’haq Jahangiri Makamu wa Kwanza wa Rais na Katibu Mkuu wa OIC.
Habari ID: 2615009    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/04