Karbala ya 1445
Kamati ya kitamaduni na kielimu ya Makao Makuu ya Arobaini ya Iran imesema makundi ya makari wanaume na wanawake, wasomaji Tarteel na makundi ya Tawasheeh yanaweza kujiandikisha kuwa sehemu ya msafara wa Qur'ani wa Arobaini wa mwaka huu.
Habari ID: 3479042 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran kamwe haitoruhusu kukaguliwa vituo vyake vya kijeshi.
Habari ID: 3306128 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21
Takribani watu milioni 20 wamewasili Karbala kwa ajili ya kushiriki katika Arubaini ya Imam Husain AS. Mkuu huyo wa mkoa wa Karbala amesema kuwa hii ni mara ya kwanza kabisa kumiminika watu kiasi chote hicho katika historia ya ziara za Imam Husain AS.
Habari ID: 2617895 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/13