iqna

IQNA

Wafanyaziara wasiopungua 107 wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na kreni au winchi katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia.
Habari ID: 3361271    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/11

Ripoti Maalumu ya IQNA
Sambamba na kuanza hujuma ya hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, kumeshuhudiwa kuongezeka kwa kasi chuki dhidi ya Ushia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika.
Habari ID: 3315877    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/18

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hujuma ya kinyama ya Saudi Arabia katika jirani ya Yemen ni kosa la kistratejia.
Habari ID: 3277848    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/10

Ndege za kivita za Saudi Arabia jana usiku kwa mara nyingine tena zimeyashambulia maeneo mbalimbali ya mji mkuu wa Yemen Sana'a. Ndege za kivita za Saudi Arabia jana usiku zililishambulia kwa mara kadhaa eneo la al al-Urqub Khulan huko katika mji mkuu Sana'a.
Habari ID: 3217759    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/27

Vikosi vya usalama nchini Saudi Arabia vimezishambulia nyumba kadhaa za jamii ya Waislamu wa Kishia katika mji wa Awamiya katika mkoa wa Qatif wakati huu ambapo utawala wa Saudi Arabia umezidisha vitendo vyake vya ukandamizaji dhidi ya wapinzani nchini humo.
Habari ID: 2699769    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/12