iqna

IQNA

Waislamu 25 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti wakati wa Swala ya Idul-Adh’ha mapema leo asubuhi.
Habari ID: 3367085    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) limetekeleza miripuko ya mabomu kwenye msikiti wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia katika mji mkuu wa Yemen Sana'a na kupelekea waumini wasiopungua 32 kupoteza maisha.
Habari ID: 3357626    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/03

Watu wasiopungua 137 wameuawa shahidi na wengine karibu 400 kujeruhiwa kufuatia hujuma za mabomu ndani ya misikiti miwili iliyokuwa imejaa waumini wakati wa sala ya Ijumaa katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
Habari ID: 3015829    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/20

Baadhi ya nakala za kale zaidi za Qur’ani duniani ambazo ni zama miaka ya awali ya Uislamu zimewekwa katika maonyesho.
Habari ID: 2917897    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/02